Ni kweli kabisa. Na hata India wana adhabu ya kifo kwa wahusika. Ila kwa nchi yetu kabla ya kufikia huko, basi tungeimarisha kwanza mifumo yetu ya kisheria, ambayo kimsingi inatengeneza mianya mingi ya uonevu, dhuluma, na kubambikia watu kesi kupitia baadhi ya polisi wasio waaminifu, mahakimu, nk.Ubakaji ni ukatili wa hali ya juu sana.
Unambakaje mtoto wa mwaka mmoja? I mean, unajua maana ya kubaka? Unajua maana ya mwaka? Unajua maana ya mmoja? How do you do it, or, how is it done?Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akichangia leo bungeni mjini Dodoma amesema kutokana na kuibuka kwa matukio mengi ya ukatili wa watoto anafikiria kuwa wanaobainika kufanya hivyo wahasiwe ili kuifanya jamii ya kitanzania kuwa salama.
=======
Esther Matiko: Kumekuwa na matukio ya kikatili dhidi ya watoto kwenye Taifa letu ambayo yamekuwa ni muendelezo. Ntacite mifano ambayo nimeishuhudia kwa wiki moja tu hii.
Jana kwenye jimbo la Shinyanga mjini kuna mtoto wa mwaka mmoja miezi 11 amebakwa na baba wa kambo, amepelekwa hospitalini Kambarage wakamrefer kwenda Bugando, ameharibiwa ametobolewa kote, mbele nya nyuma yule mtoto, inasikitisha sana, mtoto wa mwaka mmoja na miezi 11. Mengine yamekuwa reported, mengine sio reported.
Kama Taifa huyu mtoto hata akipona ataathirika kisaikolojia, sasa wapo wangapi kama hawa kwenye Taifa letu! Tunachukua hatua gani!
Songea kuna kijana wa miaka 19 amebaka na kulawiti watoto wa shule ya msingi zaidi ya nane wadogo. Iringa watoto wamelawitiwa na kubakwa wadogo.
What are we doing, tunafanya nini kama Taifa kwani hata hizi sheria tunazoweka naona kama zinakuwa loose, at a time unafikiria hata hawa watu wawe wanahasiwa kabisa or even you remove tha part ili jamii iweze kukaa vizuri.
Inaumiza sana kama Taifa na kama mzazi naumia.
Naungana na wewe kuwa ni imani za kishirikina, hiwezi sema mtoto amekuvutia mpaka umbakeShe's emotional and this is understandable, but severing some random dude's gonads will not mitigate a problem...
Wabakaji wa watoto wanakera sana, lakini tatizo siyo msukumo wa kingono peke yake bali pia imani za kishirikina. Mfano, siku za hivi karibuni takwimu zinaonesha kesi za unajisi wa watoto ziko kwa wingi mkoani Iringa. Zamani ilikuwa ni sehemu za Pwani. Baada ya kufuatilia kwa undani nikafahamu kwamba imani za kishirikina zinachangia sana haya kutokea.......
Huo mwaka ndiyo watastaafu siasa rasmi. Au wafanye kuhamia Acti aka Fisiemu BHivi baada ya bunge hili kuisha,yaani 2025,huyu na wenzake 18 watafanyia chama kipi kampeni?
Pia uwakilishi huu ni kutoka wapi🤭Ameshatafuta chanzo cha tatizo, kabla ya kukimbilia kwenye hitimisho?
Yaani akiwa kama msomi, badala ya kuumiza kichwa kutafuta chanzo cha haya matatizo kushamiri kwenye jamii yetu, yeye anakimbilia kutatua tatizo kwa njia ya mkato!
Vipi ikitokea mtu akasingiziwa kubaka! Halafu akahasiwa! Halafu baadaye ikabainika, hakufanya hilo kosa! Itakuwaje?
Au lengo wanataka wabakie wenyewe, ili waishi kwa kusagana?
Kuna comments unatamani uzi like multiple times.Na wanawake wanaobaka wanaume wakeketwe?
WEWE ni Mbunge wa Chama gani ? Vipi na WANAWAKE WASAGAJI ?Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akichangia leo bungeni mjini Dodoma amesema kutokana na kuibuka kwa matukio mengi ya ukatili wa watoto anafikiria kuwa wanaobainika kufanya hivyo wahasiwe ili kuifanya jamii ya kitanzania kuwa salama.
=======
Esther Matiko: Kumekuwa na matukio ya kikatili dhidi ya watoto kwenye Taifa letu ambayo yamekuwa ni muendelezo. Ntacite mifano ambayo nimeishuhudia kwa wiki moja tu hii.
Jana kwenye jimbo la Shinyanga mjini kuna mtoto wa mwaka mmoja miezi 11 amebakwa na baba wa kambo, amepelekwa hospitalini Kambarage wakamrefer kwenda Bugando, ameharibiwa ametobolewa kote, mbele nya nyuma yule mtoto, inasikitisha sana, mtoto wa mwaka mmoja na miezi 11. Mengine yamekuwa reported, mengine sio reported.
Kama Taifa huyu mtoto hata akipona ataathirika kisaikolojia, sasa wapo wangapi kama hawa kwenye Taifa letu! Tunachukua hatua gani!
Songea kuna kijana wa miaka 19 amebaka na kulawiti watoto wa shule ya msingi zaidi ya nane wadogo. Iringa watoto wamelawitiwa na kubakwa wadogo.
What are we doing, tunafanya nini kama Taifa kwani hata hizi sheria tunazoweka naona kama zinakuwa loose, at a time unafikiria hata hawa watu wawe wanahasiwa kabisa or even you remove tha part ili jamii iweze kukaa vizuri.
Inaumiza sana kama Taifa na kama mzazi naumia.
Tuanzie hapoHata naye na wenzake "wanabaka" kodi za watanzania huko bungeni, nao wahasiwe.
Si anahasiwa endapo utaenda kusema mwenyewe [emoji23][emoji23]ILA ikiuchuna tu we na fiance wako nani atajua?? Ila kama ukitaka ahasiwe mapeeeema tu unaenda kushitakiHata fiance wako au mumeo akikuingilia kwa nguvu ikaonekana anataka kukubaka utakubali ahasiwe?
Seems ubakaji mmeuchukulia kwa angle moja tu.
Ding dong😁Si anahasiwa endapo utaenda kusema mwenyewe [emoji23][emoji23]ILA ikiuchuna tu we na fiance wako nani atajua?? Ila kama ukitaka ahasiwe mapeeeema tu unaenda kushitaki
Hivi huyu dada ana mume/ameolewa?Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akichangia leo bungeni mjini Dodoma amesema kutokana na kuibuka kwa matukio mengi ya ukatili wa watoto anafikiria kuwa wanaobainika kufanya hivyo wahasiwe ili kuifanya jamii ya kitanzania kuwa salama.
=======
Esther Matiko: Kumekuwa na matukio ya kikatili dhidi ya watoto kwenye Taifa letu ambayo yamekuwa ni muendelezo. Ntacite mifano ambayo nimeishuhudia kwa wiki moja tu hii.
Jana kwenye jimbo la Shinyanga mjini kuna mtoto wa mwaka mmoja miezi 11 amebakwa na baba wa kambo, amepelekwa hospitalini Kambarage wakamrefer kwenda Bugando, ameharibiwa ametobolewa kote, mbele nya nyuma yule mtoto, inasikitisha sana, mtoto wa mwaka mmoja na miezi 11. Mengine yamekuwa reported, mengine sio reported.
Kama Taifa huyu mtoto hata akipona ataathirika kisaikolojia, sasa wapo wangapi kama hawa kwenye Taifa letu! Tunachukua hatua gani!
Songea kuna kijana wa miaka 19 amebaka na kulawiti watoto wa shule ya msingi zaidi ya nane wadogo. Iringa watoto wamelawitiwa na kubakwa wadogo.
What are we doing, tunafanya nini kama Taifa kwani hata hizi sheria tunazoweka naona kama zinakuwa loose, at a time unafikiria hata hawa watu wawe wanahasiwa kabisa or even you remove tha part ili jamii iweze kukaa vizuri.
Inaumiza sana kama Taifa na kama mzazi naumia.
Tatizo linakuja pale ambapo hao wanaotakiwa kusimamia sheria tunakutana nao wakiwa wamepanga misururu ya mashangingi yao (V8) kwa hao waganga. Bahati mbaya sana ni kwamba imani za kishirikina ni dini asilia za watanzania walio wengi. Mauaji ya Albino kanda ya ziwa, kupotea kwa watoto kule njombe na Mbeya, na ubakaji wa watoto kule Iringa ni jinai za kiimani. Hivyo tatizo kubwa liko kwenye jamii ya zetu na linahitaji mkakati wa aina yake ili kulimaliza.Tatizo ni mamlaka husika kutofanya maamuzi sahihi kulishughulikia hili tatizo. Badala ya kumtafuta mganga wa kienyeji anayeeneza huo utaratibu wanamshughulikia aliyetenda peke yake. Wakati mganga anaendelea kuvuna wateja wa kutenda huo uhalifu.
Lakini inawezekana!Tatizo linakuja pale ambapo hao wanaotakiwa kusimamia sheria tunakutana nao wakiwa wamepanga misururu ya mashangingi yao (V8) kwa hao waganga. Bahati mbaya sana ni kwamba imani za kishirikina ni dini asilia za watanzania walio wengi. Mauaji ya Albino kanda ya ziwa, kupotea kwa watoto kule njombe na Mbeya, na ubakaji wa watoto kule Iringa ni jinai za kiimani. Hivyo tatizo kubwa liko kwenye jamii ya zetu na linahitaji mkakati wa aina yake ili kulimaliza.
Siyo kazi rahisi.......