Vitu gani hivi?
==============
Hariri kijana na wakati mwingine utolee maelezo unapoweka link za mitandao isiyofahamika na wadau hapa.
Inaweza kuwa issue nzuri ila waoga wakaogopa kuliwa kichwa kwa sababu ya link za wasiyojulikana.
Unaingia kwa link unakutana mheshimiwa ananasa sura yako, kisha unaenda mikoa 6, na mkoa wa mwisho ndo wasamalia wanaona ndevu somewhere!.