Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,343 Reaction score 289,401 Jan 17, 2017 #1 Amekuwa ndiye mchezaji mkongwe zaidi kucheza katika michuano hiyo ( miaka 44 ) , mara baada ya kuchukua nafasi ya kipa no 1 aliyeumia . Mungu mpe maisha marefu ili aendelee kufundisha vijana .
Amekuwa ndiye mchezaji mkongwe zaidi kucheza katika michuano hiyo ( miaka 44 ) , mara baada ya kuchukua nafasi ya kipa no 1 aliyeumia . Mungu mpe maisha marefu ili aendelee kufundisha vijana .
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,506 Reaction score 2,747 Jan 18, 2017 #2 Jamaa anajua sana,na kwa golikipa inawezekana
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,343 Reaction score 289,401 Jan 18, 2017 Thread starter #3 havanna said: Jamaa anajua sana,na kwa golikipa inawezekana Click to expand... Bado yuko vizuri na anaweza kucheza kwa miaka mingine mitano .
havanna said: Jamaa anajua sana,na kwa golikipa inawezekana Click to expand... Bado yuko vizuri na anaweza kucheza kwa miaka mingine mitano .
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,506 Reaction score 2,747 Jan 18, 2017 #4 Yeah mifano iko nyingi kama Buffon na David james, uzuri kwa kipa anapokuwa anaumri mkubwa ndio uzowefu anaimarika
Yeah mifano iko nyingi kama Buffon na David james, uzuri kwa kipa anapokuwa anaumri mkubwa ndio uzowefu anaimarika
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,716 Reaction score 8,098 Jan 18, 2017 #5 havanna said: Yeah mifano iko nyingi kama Buffon na David james, uzuri kwa kipa anapokuwa anaumri mkubwa ndio uzowefu anaimarika Click to expand... Kuna chuma kinaitwa Dino Zoff
havanna said: Yeah mifano iko nyingi kama Buffon na David james, uzuri kwa kipa anapokuwa anaumri mkubwa ndio uzowefu anaimarika Click to expand... Kuna chuma kinaitwa Dino Zoff
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Jan 18, 2017 #6 Amiin
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,343 Reaction score 289,401 Jan 18, 2017 Thread starter #7 Halafu kafanya save moja matata sana , katoa mpira mguuni mwa mtu ! Hakika mkubwa dawa .
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,230 Reaction score 15,636 Jan 18, 2017 #8 Buffon juzi kacheza na mtoto wa Enlico Chiesa,ambaye alikuwa naye Juve miaka hiyoo.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,230 Reaction score 15,636 Jan 18, 2017 #9 Hapa bongo nadhani mzee wa kiminyio Madaraka Selemani atakuwa miongoni waliocheza wakiwa na umri mkubwa.
Hapa bongo nadhani mzee wa kiminyio Madaraka Selemani atakuwa miongoni waliocheza wakiwa na umri mkubwa.