Remix ya yamoto band;
mnyika zito yulee, kafulila zito yule, halima zito
yule.....
Zito zito huyooooo....
Ale zito huyo katinga bungeni ripoti mkononi kaleta
na wezi ooohh!!
Ale zito huyo katinga bungeni ripoti mkononi kaleta
na wezi (tusipate tabu kujua nikinanani)
Ale zito yule kaleta riport kakinukisha mjengoni,
Mhongo na pinda walidhani labda ni utani jamani,
Ali zito nae bila woga bado akawataja akasema
mapesa mengi jamani kumbe waliyaiba.....n
ilisikitikaaaah oooooh!!!
Kikwete inamaana hukuona wakati pinda akiiba
pesa au nawe ni mmoja!?
Hata jaji werema yule fundi wa sheria kumbe nae
alikua mmoja kati ya walio iba,
Tena chenge wa visenti na yeye kaiba tena, kazi
kujisifia nakuita visenti, umfukuze (tunakuomba)
tusijempiga (ukiondoka) atajisifu (ukimuacha)
tunamjua chenge....
aaaaahh niseme nisiseme!!???....