Nliidownload stock ROM kutoka kwenye website yao... Sema sijui kuiwekaukishaformat simu kwenye flashtool haiwezi kuwaka tena na hapo unachotakiwa kufanya ni kubonyeza neno download ili rom iweze kuingia sasa umeandaa rom ya hyo simu?
kumbuka kitendo cha kuiformat simu na ikakubali kujizima kabsa simu hyo ina asilimia 97 ya kupona ila ni lazma uweke rom yake sahihi kwa kutumia neno scatter kisha unabonyeza neno download
hapo unafungua sp yako kisha kuna neno limeandikwa scatter kwa hapo juu ya hyo flashtool unatakiwa ubonyeze hapo kisha itakuomba uipeleke kwenye file husika hvyo uwe na kumbukumbu kama file lako umeliweka sehemu gani kama kwenye desktop au pengine Baada ya kuselect file lako utakutana na neno scatter file kisha click hapohapo baada ya kufanya hvyo mafile yatajipanga yenyewe automatic Hvyo ndio utabonyeza neno download only kisha utaconnect simu kama ulivyofanya wakat wa kuiformat na simu itaanza kuingiza ROM baada ya kumaliza itakuonyesha alama ya [emoji736] hapo utadisconnect simu yako na kuifanyia hard reset kwanza kwa power&volume key kisha utaireboot simu na tatzo litakuwa limekwisha ila usisahau kuangalia IMEI ukikuta invalid imei itakupasa urekebishe IMEINliidownload stock ROM kutoka kwenye website yao... Sema sijui kuiweka
Mbn kama inaleta BRAM ERRORhapo unafungua sp yako kisha kuna neno limeandikwa scatter kwa hapo juu ya hyo flashtool unatakiwa ubonyeze hapo kisha itakuomba uipeleke kwenye file husika hvyo uwe na kumbukumbu kama file lako umeliweka sehemu gani kama kwenye desktop au pengine Baada ya kuselect file lako utakutana na neno scatter file kisha click hapohapo baada ya kufanya hvyo mafile yatajipanga yenyewe automatic Hvyo ndio utabonyeza neno download only kisha utaconnect simu kama ulivyofanya wakat wa kuiformat na simu itaanza kuingiza ROM baada ya kumaliza itakuonyesha alama ya [emoji736] hapo utadisconnect simu yako na kuifanyia hard reset kwanza kwa power&volume key kisha utaireboot simu na tatzo litakuwa limekwisha ila usisahau kuangalia IMEI ukikuta invalid imei itakupasa urekebishe IMEI
N.B : ROM uliyodownload ni lazima u-extract kwanza ili kuiona scatter file KAMA NITAKUWA HUJANIELEWA INGIA YOUTUBE WATAKUPA MAELEZO YA VIDEO NAMNA YA KUWEKA ROM KWA SP