A agosti 8 JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 3,575 Reaction score 2,582 Jun 25, 2013 #2 Asante mkuu: HAKI SIYO KUGAWANA SAWA.
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,682 Reaction score 7,505 Jun 25, 2013 #3 Hahaha! Picha ya kwanza ukiangalia fastafasta unaweza kusema dogo kafunikwa kumbe wako sawa! Na picha ya pili ukiangalia haraka unaweza sema wamelingana marks, wakat dogo kawafunika vibaya!!
Hahaha! Picha ya kwanza ukiangalia fastafasta unaweza kusema dogo kafunikwa kumbe wako sawa! Na picha ya pili ukiangalia haraka unaweza sema wamelingana marks, wakat dogo kawafunika vibaya!!