Punguza umbea basi dah.1,POMBE
Madhara πmaradhi ya moyo
π Saratani(Cancer)
π Afya ya akili
π Inapunguza kuaminika
π Upungufu wa nguvu za. kiume
π Hatari kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
π Hupelekea ajali
πuhalifu na ukatili
2. Sigaraπ¬π
Madhara: π‘saratani(Cancer)
π Maradhi ya moyo
π Madhara Kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
Nk
Ashalewa bila kula huyu.Hebu lala.....
Hao nao wakajiona wana akili kumpita mlevi aliye kwenye starehe zake ?Kuna jamaa alikua analewa vibaya, na kurudi home usiku mkubwa.
Na akilala anakoroma
Akianza kukoroma, mshikaji jiran anasukuma mlango na kuingia ndani.
Yeye na mke wa jamaa wanafanya matusi kwenye kochi mpaka raundi tatu.
wakimaliza jamaa anatoka, mke anafunga mlango anarudi chumbani kulala kimyaa.
Daah, dunia inanuka uovu hii mkuu.Kuna jamaa alikua analewa vibaya, na kurudi home usiku mkubwa.