Nauza printer mpya Epson L810, inaprint picha, CD, ,business card za pvc n.k.
Bei ni shilingi laki saba na nusu (750, 000). Bei ya shop ni mpaka mil.1.
Nicheki 0713767579
Bado uko interested? Hii bado ipo na ninauza Heat press kwa ajili ya kuprintia tshrts, kofia, sahani na vikombe vyote kwa mil. 1 tu. Ukinunua hivi vyote unaanza kazi moja kwa moja..nimepata dharula