M Mchungaji Ritch Senior Member Joined Sep 4, 2010 Posts 115 Reaction score 20 Nov 27, 2014 #1 Epson L210 mpaya ina scanner, copier na printer ila kikubwa zaidi inatumia wino wa nje. Ajabu pevu ni bei yake poa ni laki 5 tu. Ni PM kwa maswali na jinsi ya kuipata nipo Arusha. Picha pia inaprint.
Epson L210 mpaya ina scanner, copier na printer ila kikubwa zaidi inatumia wino wa nje. Ajabu pevu ni bei yake poa ni laki 5 tu. Ni PM kwa maswali na jinsi ya kuipata nipo Arusha. Picha pia inaprint.
MARUMARU JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 250 Reaction score 54 Nov 28, 2014 #2 ni used au mpya unazo nyingi au hiyo moja? mwisho weka namba ya simu
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,549 Reaction score 21,676 Nov 28, 2014 #3 Unauza na catridge za Epson?
M Mchungaji Ritch Senior Member Joined Sep 4, 2010 Posts 115 Reaction score 20 Nov 28, 2014 Thread starter #4 Maru kichwa cha habari kinasema mpya au used? i repeat mpyaa. Sema idadi unayohitaji. 0784626616/ 0754626616
Maru kichwa cha habari kinasema mpya au used? i repeat mpyaa. Sema idadi unayohitaji. 0784626616/ 0754626616
M Mchungaji Ritch Senior Member Joined Sep 4, 2010 Posts 115 Reaction score 20 Nov 28, 2014 Thread starter #5 Zipo cartridge unahitaji za ndani na ni namba ngapi? kama ni kwa ajili ya continous yani wino wa nje upo pia kwa wingi Donnie.
Zipo cartridge unahitaji za ndani na ni namba ngapi? kama ni kwa ajili ya continous yani wino wa nje upo pia kwa wingi Donnie.