Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,991
- 22,487
Nzuri sana hii msiiache jmn, si ni mpya?
Mfululizo ni masaa sita mkuu, na kuhusu dstv hiyo inaonyesha vizuri tu, projector kuanzia lumens 1500 unaweza kutumia kuonyeshea mpira bila wasiwasiIna uwezo wa kuonyesha kupitia Dstv ?.si Unajua English premier inaanza hivi karibu!kama inafanya nitaitumia mfululizo muda gani?
Mfululizo ni masaa sita mkuu, na kuhusu dstv hiyo inaonyesha vizuri tu, projector kuanzia lumens 1500 unaweza kutumia kuonyeshea mpira bila wasiwasi
400k unakula?
Kamanda malizia tu hiyo kilo mzee
Jombaa sina. kama unauza kweli we close the business. nataka kwaajili ya kuonyeshea Epl