Kama hutajali naomba uweke namba yako ya simu nitakupigia au nicontact kwa email address
frajosmal@yahoo.com
Machine unayohitaji naweza kukusaidia ukapata brand new au used. utakavyopenda mwenyewe,hata ukihitaji na catridges zake naweza kuku supply japo kwa machine mpya utapata catridge sita. Asante.