ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Kwakweli..tunasubiri wajeWanakuja
Mentor hajapotea, yupo muda wote humuWeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa wako wapi wale wa enzi zile za LEO TUPO HAPA PUB
wako wapi wale wa mastori mastori ya kutisha kama ya Mshanajr, Mentor (huyu kapotea mazima sijui ndo ka............) Mtambuzi , KakaKiiza
wako wale washadadiaji kwenye mauzi ya siasa, kama Katavi,
wako wapi wale wakiona kitu basi mlango wa saba utatambua kuwa wako hahahahhahaaaaaaaa
(siwataji wasijenifunga lokapu bure hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
wako wapi wale wanaokoment masaaa 24/7 akina miss chagga, Arushaone, PakaJimmy Lady doctor, charminglady, valentine, Heaven on Earth, MTAFITI, mwallu, Kipaji Halisi , figganigga
Wako wapi waanzisha nyuzi waliobobea yaani wakongwe sana hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siwataji wataniweka kwenye kikaango cha baba mwamba haaaaaaaaaaaaaaa
Wasalaam
Ladyf
Yani una force kina pele waendelee kucheza halafu wakutane na kina neymar...unategemea matokeo gani hapo??[emoji23] [emoji23]Kwakweli..tunasubiri waje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uandishi wako na hasa hiyo 'weraaaaaaaweraaa' inaashiria unafanya kazi ya ususi..bakurututu brain!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Uandishi wako na hasa hiyo 'weraaaaaaaweraaa' inaashiria unafanya kazi ya ususi..bakurututu brain!!
AiseeeehUandishi wako na hasa hiyo 'weraaaaaaaweraaa' inaashiria unafanya kazi ya ususi..bakurututu brain!!
Kufungwa tu hakuna namnaYani una force kina pele waendelee kucheza halafu wakutane na kina neymar...unategemea matokeo gani hapo??[emoji23] [emoji23]
Wanakuja
Wakija msisahau kuniitaKwakweli..tunasubiri waje
Uandishi wako na hasa hiyo 'weraaaaaaaweraaa' inaashiria unafanya kazi ya ususi..bakurututu brain!!
SawaWakija msisahau kuniita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufungwa tu hakuna namna
Sasa hao wazee hapo uwakutanishe na kikosi cha kina shunie kweli??Kufungwa tu hakuna namna
Tupo tumeshawarithiii wengine wamekuwa wahenga hawawezi tena kutype wanapita kusoma tu hakika hongera kwa wahenga wote wa JF