Enzi za NGO NGO NGO NGOOO....

Yani ikilia tu, mda wa uji umefika!
Dang! dang!
 
Dah acheni bana, na kulikuwa na time keeper kabsaa, yeye kazi yake ndo hiyo tuu. walimu walikuwa wanachagua mdada mmoja msafiiii, halafu mtiifu utakuta moja kamili asubuhi keshawahi anagonga mnawahi namba hahahahaah dah siku nikiwa fisadi ntapita shule zote nilizosoma atleast nikumbuke tu mazingira yale!
 
Aaa sana namkumbuka sana mwalimu wangu Lulesu RIP.
 
Ha ha ha nilikuaga timekeeper,one day njaa alikaa penyewe then nikaring 40 minutes b4 ten am ili nipate cha kujitetea,nikazungusha mshale wa saa kuonyesha saa 4
 
Jamani mwl wangu mkuu Fadhil Seiwad uko wapi?
Nakukumbuka pale Forodhani enzi hzo za 95'.
Mwl Mwarongo, Mwl Chuma mko wapi,mwanafunzi wenu nawamiss hukuuu.
 
sie skuli kwetu kulikuwa na chuma cha reli,timekeeper akawa anaufanya mradi,kupiga kengele ilikuwa ishu sana,unamnunulia mihogo ya sh.50 ili akuruhusu kupiga kengele.timekeepers wetu wote walikuwa wa kiume,na walikuwa na saa zao za makonyezo.
 
Jamani dah!! Enzi hizo 1982 mimi nilikuwa ni timekeeper na saa yangu ya makonyeza, soksi nyeupe ndefu, nimesuka utii wa roda!!! Natamani siku zingekuwa zinajirudia.
 
Ikipgwa muda wa mchana hata kama mwalimu yupo darasani mnashangilia kwenda hom....
 

Nina lengo hilo pia mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…