Na mimi nimeshangaa ujue. Labda kama huyo rafiki alimnunulia hizo shanga akamuwekea kitu kibaya. Ukute mke alitaka kuongeza chachandu kwenye mahaba jamani.Shanga zina uhusiano gani na kuachika? Kuna kitu kimejificha hapo na huyo rafiki aliyejisogeza karibu ndiye aliyeleta fitina
alicho nambia alipewa na jamaa wa huyo bidada ambae ndo mtaalamu wake siku zote!!!! means shanga ilitoka anakojuA bidada!!! sasa mim sijui aliweka ma nin humo,,,, maadam unaweza jua umevaa shanga kumbe umevaa mkosi,,,,, ndicho nacho zungumzia tuwe orginal tu.... Haiwezekan Ndoa 2 zivunjike kwa wakat m1 tena kwakuludishwa kwenu yule mwingine alipewa talaka juu mbele ya wazee wote.Shanga zina uhusiano gani na kuachika? Kuna kitu kimejificha hapo na huyo rafiki aliyejisogeza karibu ndiye aliyeleta fitina
Hizo shanga zitakuwa zimefanyiwa sayansi ya kiafrika.....Na mimi nimeshangaa ujue. Labda kama huyo rafiki alimnunulia hizo shanga akamuwekea kitu kibaya. Ukute mke alitaka kuongeza chachandu kwenye mahaba jamani.
Kuhusu marafiki, inabidi mtu binafsi apime aina za marafiki alionao. Sio kwamba tu HS ntaolewa afu nikatishe urafiki na rafiki zangu kisa wao hawajaolewa mmh. Sio kila ambaye hajaolewa ni mbaya au atakushauri vibaya. Unawajua rafiki zako wazuri na wabaya, wale wabaya punguza urafiki nao na usiwaelezee mambo yako ya ndoa. Afu at the end of the day wewe ndo muamuzi wa mwisho, ushauri utapewa hata na aliyeolewa mwenzako ila akili kumkichwa.
Aaah hapo lazima tamaduni imefanyikaHizo shanga zitakuwa zimefanyiwa sayansi ya kiafrika.....
Mleta mada alitakiwa aseme wanandoa wawe makini....lakini sio kutokuwa na urafiki na wasioolewa....walioolewa wenyewe ni vimeo....hiyo huyo mwanamke alipaswa amjue vema rafikie.
Pia alianzaje kumshirikisha mambo ya ndoani????
sikulazimu ukikubali nlichosema.,,,,hvi hujawah kukumbana na rafiki aliekuw mzur kwako ghafla akawa chui kisa unamchumba /umeolewa / umefanikiwa kimaisha?? je atakwambiaga leo mim ni mbaya wako??Na mimi nimeshangaa ujue. Labda kama huyo rafiki alimnunulia hizo shanga akamuwekea kitu kibaya. Ukute mke alitaka kuongeza chachandu kwenye mahaba jamani.