Thanks uko mwelewa mkuu,nimekuelewa
We hujielewi I hope, mbuzi na environment health science wapi na wapi? Acha uchokoraa au elimu yako unafananisha na kila mtu co?don't you have another place rather than being here? Damn..
matus ya nn kijana?
..jamaa yupo sahihi
..kwa mwaka. wanafunz kibao wanamaliza vyuo
..na wanabanana na wale waliomaliza toka 2007 na wao wanasaka ajira
..kampun zilezile
..na zilizompya haziajir saana
...hivyo unaweza maliza chuoo ukasaga sana nyayo na kazi uzipate regardless umesomea program gani
..th only marktabl programs now ni madawa, pharmacy, clinical, education, lab technician
...programz zilizobaki kupata kaz ni bahati ama uwe na ndugu
...we kasome ila kuwa tayar kwa lolote
...mind yako iweke kwenye ujasiriamal zaid
...Na ndio mana jamaa alikwambia kufuga mbuzi bt haimaanish mpaka usomee Agriculture
....life nowadays is unpredictable
.......learn to b independent
..n change th schema u had concernin employment
.......Adios