Sasa zile benki mke ndani zilivyo na foleni Mmm kasheshe ILA tutazoea .Kwa Mimi ninasiku nyingi Sana sijaenda pale kwani huduma zilizopale zinapatikana kila mahali jijini Dar
Sawasawa, ukichukua tiketi unaanzisha stop-watch alaf dk ya 50 unatoka nje, unaenda kuingilia geti lingine unachukua tiketi tena. Unaweza tumia dk100 bure na utakua umemaliza shughuli yako! Uvumilie usumbufu wa dk20 za kutoka na kuingia tena, na ndipo utagundua umeokoa Tsh 500/- tena ya sarafu kwa masaa 2.

hahahah atalipa 5000 per day jioni analipitia kama kawa
Aise hii kali kumbe unaweza ukakaa kabla ya lisaa ukatoka ukaingia tena bila kulipa
Kuna town moja huwa wanafanya hivyo, yani kunakua na parking lot kama 500 hivi nje ya mji, na hapo hapo kuna train kila baada ya nusu saa, drive gari yako ukifika unatoa $15 ya siku nzima baasi town ni kwa mguu kwa sababu kule parking yake ni $30siku. Kwa nn hata Dar mradi kama huo usianzishwe? Just ile bilioni 9 ya Mwakyembe ingaweza tengeneza one parking site kuubwa watu waishie kimara tu
Hivi mlimani city kuna nini hasa cha maana? Vidada vijinga vinavyoongelea puani?

Plus wear and tear, risk ya kuingia main road, time and inconveniences.Alafu yale mafuta uliyotembelea bei inakuwa ni ile ile. Think big
hahahahaaa..,mkuu hapa unawasema wengi tu..,may be hata ww mwenyewekuna mtu alikuwa analipaki anaenda posta kwente shughuli zake jioni anapita anachukua sasa hii imekula kwake.
statement yako iko kiutani lakin practically kuna ukweli kwa zaidi ya asilimia 50..,zaidi ya nusu ya watu wanaoonekana mlimani city ni kuuza sura tuMlimani city, sehemu ambayo watu hawanunui bali huenda kuuza sura na kupiga picha za Facebook
Kushangaa kutapungua ndani!
Hivi mlimani city kuna nini hasa cha maana? Vidada vijinga vinavyoongelea puani?
mbna bei rahisi
tena an hour for free
airport tuna lipa buku hata ukae dk 10
kkoo sokoni parkin jero for an hour
pale viva towers buku per hour