Tetesi: Enock Koola akataliwa nyumbani Vunjo

MALLE JR

Member
Joined
May 7, 2025
Posts
10
Reaction score
4
Mtia nia wa ubunge Vunjo aitwaye Enock Koola siku ya Jumamosi wajumbe wamemgomea kuonana nao licha ya kurudi mara 2 akidhani patakua na nafuu.

Kadhia hiyo imemkuta katika kata yake ya nyumbani ya Mwika Kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…