hahahaaaa engineering zote ni nzuri,inategemea na uwezo binafsi kwa field kama ya computer engineering u can make money,just kujituma na kuwa na maskills mengi mengi...otherwise ukiajiriwa salary grades hazipishani
Hahahaha.....sema Computer inahitaji moyo wa kishujaa........kufumba na kufumbua watu wapo sayari ya Mars wewe umeachwa sayari ya Dunia, huu ndio mtihani wake mkubwa sana unaowashinda wengi!