troiker JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 1,550 Reaction score 2,575 Mar 13, 2023 #1 Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s. Je, hii engine inafaa kwa kiasi gani nimlipe pesa ya gari?
Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s. Je, hii engine inafaa kwa kiasi gani nimlipe pesa ya gari?
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #2 hiyo gari ilikuwa na injiniya d4d, ameweka 3s iliyoko kwenye noah old model, toyota caldina old model na rav4 mangi
hiyo gari ilikuwa na injiniya d4d, ameweka 3s iliyoko kwenye noah old model, toyota caldina old model na rav4 mangi
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #3 3s ni nzuri cheki Toyota noah
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #4 Santos06 said: 3s ni nzuri cheki Toyota noah Click to expand... not good for fuel consuption due to old tech
Santos06 said: 3s ni nzuri cheki Toyota noah Click to expand... not good for fuel consuption due to old tech
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #5 Mamaya said: not good for fuel consuption due to old tech Click to expand... Old engine high consumption vipi ikiwa mpya?
Mamaya said: not good for fuel consuption due to old tech Click to expand... Old engine high consumption vipi ikiwa mpya?
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #6 troiker said: Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s,je hii engine inafaa kwa kiasi gani nmlipe pesa ya gari? Click to expand... Kwanza weka picha ya hio vista tuione
troiker said: Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s,je hii engine inafaa kwa kiasi gani nmlipe pesa ya gari? Click to expand... Kwanza weka picha ya hio vista tuione
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #7 Santos06 said: Old engine high consumption vipi ikiwa mpya? Click to expand... mkuu inatwanga only 10k per litre
Santos06 said: Old engine high consumption vipi ikiwa mpya? Click to expand... mkuu inatwanga only 10k per litre
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #8 Mamaya said: mkuu inatwanga only 10k per litre Click to expand... 10km/l? Mbn ni reasonable boss
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #9 Santos06 said: 10km/l? Mbn ni reasonable boss Click to expand... hiyo ni highway mkuu,misele ya mjini unajua itapiga ngapi?
Santos06 said: 10km/l? Mbn ni reasonable boss Click to expand... hiyo ni highway mkuu,misele ya mjini unajua itapiga ngapi?
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #10 Mamaya said: hiyo ni highway mkuu,misele ya mjini unajua itapiga ngapi? Click to expand... Aise kweli
Mamaya said: hiyo ni highway mkuu,misele ya mjini unajua itapiga ngapi? Click to expand... Aise kweli
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #11 Santos06 said: 10km/l? Mbn ni reasonable boss Click to expand... hyo gari yake ingefungwa 2ZR ya toyota fielder au wish angefurahia
Santos06 said: 10km/l? Mbn ni reasonable boss Click to expand... hyo gari yake ingefungwa 2ZR ya toyota fielder au wish angefurahia
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #12 Mamaya said: hyo gari yake ingefungwa 2ZR ya toyota fielder au wish angefurahia Click to expand... Sema mm sielewi masuala ya ma engine ila nadunda na 2.4l diesel land cruiser sijawahi juta
Mamaya said: hyo gari yake ingefungwa 2ZR ya toyota fielder au wish angefurahia Click to expand... Sema mm sielewi masuala ya ma engine ila nadunda na 2.4l diesel land cruiser sijawahi juta
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #13 Santos06 hiyo avator yako huendi mbinguni
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #14 Mamaya said: Santos06 hiyo avator yako huendi mbinguni Click to expand... Aise hii avatar inaniharibia sana🤣🤣 hata pisi sipati
Mamaya said: Santos06 hiyo avator yako huendi mbinguni Click to expand... Aise hii avatar inaniharibia sana🤣🤣 hata pisi sipati
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #15 Santos06 said: Aise hii avatar inaniharibia sana🤣🤣 hata pisi sipati Click to expand... na wewe ni joni madhambi?
Santos06 said: Aise hii avatar inaniharibia sana🤣🤣 hata pisi sipati Click to expand... na wewe ni joni madhambi?
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #16 Mamaya said: na wewe ni joni madhambi? Click to expand... Ahahaha ni vile namkubali tu mwamba na harakati zake
Mamaya said: na wewe ni joni madhambi? Click to expand... Ahahaha ni vile namkubali tu mwamba na harakati zake
JITU BANDIA JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 3,856 Reaction score 8,689 Mar 13, 2023 #17 Kama ni engine ya 3s twin Cam. inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta!
Kama ni engine ya 3s twin Cam. inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta!
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 13, 2023 #18 JituMirabaMinne sema neno apa Wapi Extrovert
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #19 JITU BANDIA said: Kama ni engine ya 3s twin Cam....inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta! Click to expand... ni twin cam yenye ribon nyekundu?all 3s ingine hazina fuel consuption nzuri,angalia customer reviers za watu mitandaoni
JITU BANDIA said: Kama ni engine ya 3s twin Cam....inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta! Click to expand... ni twin cam yenye ribon nyekundu?all 3s ingine hazina fuel consuption nzuri,angalia customer reviers za watu mitandaoni
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 13, 2023 #20 JITU BANDIA said: Kama ni engine ya 3s twin Cam....inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta! Click to expand... ipo pia kwenye celica
JITU BANDIA said: Kama ni engine ya 3s twin Cam....inakula sana sana mafuta...haifai!....nilinunua gari yenye engine hiyo caldina model ya 1999 ...nilijuta! Click to expand... ipo pia kwenye celica