Naomba anayemfahamu huyu mtu anisaidie cv yake. Ninachofahamu tu ni kwamba yeye ni mbunge huko Njombe na ni naibu waziri wa maji. Tangu uteuzi huo sijawahi kumsikia.