Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,688 Reaction score 31,089 Sep 20, 2018 #1 Eng I Kamwelwe akisaidia kufunga bolt na nuts za kudhibiti reli ya chuma. Lakini ameniangusha. Na mimi ni mkandarasi mdogo. Wallahi angekuwa mfanyakazi wangu kafanya hivyo ningemtimua kazi. Kwanza, helmet haijavaliwa. Pili, gloves hakuna. Tatu, mhandisi KAKAA CHINI! Wanaosema ukandarasi ni kazi rahisi na waseme sasa! Ref Daily News pg 2.
Eng I Kamwelwe akisaidia kufunga bolt na nuts za kudhibiti reli ya chuma. Lakini ameniangusha. Na mimi ni mkandarasi mdogo. Wallahi angekuwa mfanyakazi wangu kafanya hivyo ningemtimua kazi. Kwanza, helmet haijavaliwa. Pili, gloves hakuna. Tatu, mhandisi KAKAA CHINI! Wanaosema ukandarasi ni kazi rahisi na waseme sasa! Ref Daily News pg 2.
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 3,695 Reaction score 5,053 Sep 20, 2018 #2 Oh!.... Stone kawatuma