bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,117 May 18, 2012 #1 eneo zuri sana linauzwa ,lina ukubwa wa eka moja . linafaa sana kwa ujenzi wa hostel na recreation center . ni mahali pazuri mnooo . bei ni milion 35 . pm kwa mtu atakaye hitaji. NB: maelewano yapo.
eneo zuri sana linauzwa ,lina ukubwa wa eka moja . linafaa sana kwa ujenzi wa hostel na recreation center . ni mahali pazuri mnooo . bei ni milion 35 . pm kwa mtu atakaye hitaji. NB: maelewano yapo.
Ngorunde Platinum Member Nov 17, 2006 4,111 8,348 May 18, 2012 #4 Bucho Arusha kubwa hii! Kwangulelo, Kimandolu, Sakina, Unga ltd, Njiro, Sinoni, Kwamrombo....wapi haswa??
Bucho Arusha kubwa hii! Kwangulelo, Kimandolu, Sakina, Unga ltd, Njiro, Sinoni, Kwamrombo....wapi haswa??
Cherrylicious Member Dec 1, 2010 37 2 May 18, 2012 #5 bucho said: lipo arusha preta Click to expand... Eneo gani sasa!!! Arusha kubwa
bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,117 May 18, 2012 Thread starter #8 lipo maeneo ya moshono ndg zangu .
Ndachuwa JF-Expert Member Mar 8, 2006 6,269 4,569 May 18, 2012 #9 bucho said: lipo maeneo ya moshono ndg zangu . Click to expand... Moshono ndani ya mipaka ya jeshi au nje ya mipaka ya jeshi?
bucho said: lipo maeneo ya moshono ndg zangu . Click to expand... Moshono ndani ya mipaka ya jeshi au nje ya mipaka ya jeshi?
bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,117 May 18, 2012 Thread starter #10 Ndachuwa said: Moshono ndani ya mipaka ya jeshi au nje ya mipaka ya jeshi? Click to expand... halipo kwenye eneo la jeshi mkuu Ndachuwa.
Ndachuwa said: Moshono ndani ya mipaka ya jeshi au nje ya mipaka ya jeshi? Click to expand... halipo kwenye eneo la jeshi mkuu Ndachuwa.
bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,117 May 21, 2012 Thread starter #11 Tripo9 said: Tapeli! Click to expand... mkuu umetapeliwa nini sasa ?
bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,117 May 21, 2012 Thread starter #12 Cherrylicious said: Eneo gani sasa!!! Arusha kubwa Click to expand... moshono mkuu.
bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,117 Aug 16, 2012 Thread starter #13 wakuu hili eneo ni zuri mno kwa biashara . changamkieni kama una uwezo.