kafushi Member Joined Jun 28, 2015 Posts 27 Reaction score 9 Sep 24, 2017 #1 Habari wana jf eneo lenye ukubwa wa heka 16 linauzwa, lipo sehemu nzuri na linafaa kwa matumizi mbalimbali lipo Pangawe Morogoro Kwa yule atayehitaji tukutane PM
Habari wana jf eneo lenye ukubwa wa heka 16 linauzwa, lipo sehemu nzuri na linafaa kwa matumizi mbalimbali lipo Pangawe Morogoro Kwa yule atayehitaji tukutane PM
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,953 Reaction score 6,996 Sep 24, 2017 #2 kafushi said: Habari wana jf. Eneo lenye ukubwa wa heka 16 linauzwa, lipo sehemu nzuri na linafaa kwa matumizi mbalimbali. Lipo Pangawe MOROGORO. Kwa yule atayehitaji tukutane PM Click to expand... SEMA BEI.. MIE CHADEMA NAOMBA UNIPUNGUZIE
kafushi said: Habari wana jf. Eneo lenye ukubwa wa heka 16 linauzwa, lipo sehemu nzuri na linafaa kwa matumizi mbalimbali. Lipo Pangawe MOROGORO. Kwa yule atayehitaji tukutane PM Click to expand... SEMA BEI.. MIE CHADEMA NAOMBA UNIPUNGUZIE
kafushi Member Joined Jun 28, 2015 Posts 27 Reaction score 9 Sep 24, 2017 Thread starter #3 Kimla said: SEMA BEI.. MIE CHADEMA NAOMBA UNIPUNGUZIE Click to expand... OK, BEI NI MIL 50 MKUU
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,953 Reaction score 6,996 Sep 24, 2017 #4 Vipimo vya eka unayomaanisha ni mita ngapi kwa ngapi?? kafushi said: OK, BEI NI MIL 50 MKUU[/QUOTE Click to expand...
Vipimo vya eka unayomaanisha ni mita ngapi kwa ngapi?? kafushi said: OK, BEI NI MIL 50 MKUU[/QUOTE Click to expand...
kafushi Member Joined Jun 28, 2015 Posts 27 Reaction score 9 Sep 26, 2017 Thread starter #5 Kimla said: Vipimo vya eka unayomaanisha ni mita ngapi kwa ngapi?? Click to expand... Samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu. Vipimo vyake vya Eka ni 70 kwa 70 mkuu
Kimla said: Vipimo vya eka unayomaanisha ni mita ngapi kwa ngapi?? Click to expand... Samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu. Vipimo vyake vya Eka ni 70 kwa 70 mkuu