ENEO LINAUZWA TABATA AMANI

ENEO LINAUZWA TABATA AMANI

Elinanho

Member
Joined
May 2, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Nyumba inauzwa Tabata.
Mahali: amani, Liwiti.

Sifa za nyumba:
•Ina vyumba vya 4 na sebule
•Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa.
•Ina umeme, maji pamoja.
•Ina sehemu kubwa ya nje inayotosha kufulia, kuanika nguo na kupumzika.
•ipo na njia kubwa ya mtaa kuelekea kitambaa cheupe na chang"ombe etc

Ukubwa wa Eneo: 22*24.
Nyaraka: Hati ya serikali ya mtaa.
Bei: Tzs Milioni 60. Maongezi yanaruhusiwa.

Hakuna gharama ya kuona eneo, mmiliki.
Mawasiliano: 0714 996493 au 0768 197148
 

Attachments

  • IMG-20250531-WA0023.jpg
    IMG-20250531-WA0023.jpg
    79.5 KB · Views: 14

Similar Discussions

Back
Top Bottom