N ngogo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 359 Reaction score 54 Dec 20, 2012 #1 Ukubwa ni heka 5, umbali ni mita 500 kutoka Morogoro road, maeneo ya Visiga madafu, bei ni 125m.umeme upo pamoja na maji, ni zuri kwa yadi, godaun, nk. simu 0764434673.
Ukubwa ni heka 5, umbali ni mita 500 kutoka Morogoro road, maeneo ya Visiga madafu, bei ni 125m.umeme upo pamoja na maji, ni zuri kwa yadi, godaun, nk. simu 0764434673.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 946 Dec 20, 2012 #2 Sasa wewe mbona details ni nusunusu kana kwamba umelazimishwa na changudoa kuuza? Visiga iko wapi? Kuna mazao gani? Lina hati etc..................
Sasa wewe mbona details ni nusunusu kana kwamba umelazimishwa na changudoa kuuza? Visiga iko wapi? Kuna mazao gani? Lina hati etc..................
N ngogo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 359 Reaction score 54 Dec 21, 2012 Thread starter #3 Visiga ipo Kibaha shamba lina hati, you need more details mkuu?