Duh, mkuu nikisikia hilo jina moyo unalipuka kwa hasira. Kuna ndugu yangu ana eneo kule alichukua mkopo bank akajenga huko ilikuwa weekend iliyopita ahamie ila huwez kuamin zile vurugu za juzo mjengo umevunjwa uko chini na yeye yuko lock up kwa kushirikik mkutano ambao inasemekana haukuwa halali.
Kwa ufupi ni kwamba sina hamu na amdale!