J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Aug 12, 2013 #1 Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini?
Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini?
B Benny seki New Member Joined Jul 23, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jul 31, 2024 #2 JF2050 said: Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini? Click to expand... ENEO LINAUZWA Ukubwa Ekari 8 Limepimwa na kusajiliwa kwa ajili ya UJENZI WA SHULE linauzwa Lipo mkoani Morogoro, Kata ya Lukobe. Jumla mita za mraba 31,383m Kila Mita ya Mraba Tshs 6,000/= Sawa Tshs 188M Bei inashuka maelewano pungufu unaongea. Kuna fursa ya Umeme, Maji, Barabara na Mlima wenye Mawe ya Kujengea NK. Karibuni saana Mawasiliano 0657669512
JF2050 said: Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini? Click to expand... ENEO LINAUZWA Ukubwa Ekari 8 Limepimwa na kusajiliwa kwa ajili ya UJENZI WA SHULE linauzwa Lipo mkoani Morogoro, Kata ya Lukobe. Jumla mita za mraba 31,383m Kila Mita ya Mraba Tshs 6,000/= Sawa Tshs 188M Bei inashuka maelewano pungufu unaongea. Kuna fursa ya Umeme, Maji, Barabara na Mlima wenye Mawe ya Kujengea NK. Karibuni saana Mawasiliano 0657669512
D Digital Ticha Senior Member Joined Jun 16, 2023 Posts 183 Reaction score 266 Aug 1, 2024 #3 JF2050 said: Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini? Click to expand... Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa heka 3 ndio unapewa kibali,sijui kwa sasa hivi.
JF2050 said: Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini? Click to expand... Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa heka 3 ndio unapewa kibali,sijui kwa sasa hivi.
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,474 Reaction score 11,540 Aug 1, 2024 #4 Digital Ticha said: Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa heka 3 ndio unapewa kibali,sijui kwa sasa hivi. Click to expand... hapo ni kwa ndani ya halmashauri ya jiji au mji, nje ya mji au jiji ni ekari 7
Digital Ticha said: Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa heka 3 ndio unapewa kibali,sijui kwa sasa hivi. Click to expand... hapo ni kwa ndani ya halmashauri ya jiji au mji, nje ya mji au jiji ni ekari 7
D Digital Ticha Senior Member Joined Jun 16, 2023 Posts 183 Reaction score 266 Aug 1, 2024 #5 900 Itapendeza zaidi said: hapo ni kwa ndani ya halmashauri ya jiji au mji, nje ya mji au jiji ni ekari 7 Click to expand... Okay sawa, nilifatilia kwa DSM.
900 Itapendeza zaidi said: hapo ni kwa ndani ya halmashauri ya jiji au mji, nje ya mji au jiji ni ekari 7 Click to expand... Okay sawa, nilifatilia kwa DSM.