Eneo limauzwa Salasala

Joined
Feb 8, 2019
Posts
94
Reaction score
124
ENEO LIMAUZWA SALASALA

DETAILS
Ni eneo lenye nyumba ndogo ya vyumba vitatu(kimoja ni master room) pia ina jiko,dinning,sitting,public toilet
Lakini pia kwa mbele kuna frame za maduka 12
Na kwa nyuma kuna vipande viwili vya ardhi vya sqm 1550 kila kimoja na kimoja kati ya hivyo kimelimwa mishe 260 ya mapapai lakini vyote vipo ndani ya fense moja.
Kwa mbele kuna barabara kuu ya kutokea wazo au goba

LOCATION
Salasala karibu na mivumoni

DOCUMENTS
Eneo limepimwa lenye jumla sqm 3100 na mawe yamepandwa ila hati miliki ipo kwenye process hivyo mnunuzi atapata hati kwa jina lake..

BEI
Eneo lote ni Tsh milion 450 lakini ukitaka kipande kimoja ni Tsh milion 200(kisicho na nyumba pamoja miche ya mipapai)
Tsh milion 250(chenye nyumba na miche ya mipapai)

Mawasiliano;
Simu;0765532858
Whatsapp:0673540985


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…