Finance Yard
Member
- Mar 27, 2019
- 8
- 1
Kwanini msipime viwanja muuze?? Au umelenga kufanya biashara na Vigogo
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Hahaaaaa,haya kakaMilioni 3 utapata mkuu. Nakuongeza hapo laki ya udalali ukale na watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa lipo pembezoni mwa barabara na linafaa kwa shughuli kubwa za kibishara tumeona tuliuze lote kwa bei hiyo,ila maongezi yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unapajua fantasy hotel,thamani hii ni ya uwiano wa Sasa,ila maongezi yapoHector 3.77 ndo iwe 300 million ?? Kwa dodoma ya msalato ipi
Thamani ya Ardhi hutofautiana kulingana na eneo Ardhi hiyo husika ilipo (e.g Dsm, Lindi, Dodoma, Mwanza n.k)Ni eneo kubwa la heka 3.77 lililopo msalato Dodoma mjini,barabara ya kwenda arusha.eneo hili lipo pembezoni mwa barabara karibu na kibao Cha Fantasy Hotel.kama unahitaji tuwasiliane kwa namba 0764429619.
Bei inaanzia million 300,000,000/=View attachment 1057097View attachment 1057098View attachment 1057099
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma hiyo ipo mbinguni au ni huko jangwani?Ni eneo kubwa la heka 3.77 lililopo msalato Dodoma mjini,barabara ya kwenda arusha.eneo hili lipo pembezoni mwa barabara karibu na kibao Cha Fantasy Hotel.kama unahitaji tuwasiliane kwa namba 0764429619.
Bei inaanzia million 300,000,000/=View attachment 1057097View attachment 1057098View attachment 1057099
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππ