Eneo la heka 3.77 linauzwa Dodoma

Eneo la heka 3.77 linauzwa Dodoma

Finance Yard

Member
Joined
Mar 27, 2019
Posts
8
Reaction score
1
Ni eneo kubwa la heka 3.77 lililopo Msalato Dodoma mjini, barabara ya kwenda Arusha. Eneo hili lipo pembezoni mwa barabara karibu na kibao Cha Fantasy Hotel. Kama unahitaji tuwasiliane kwa namba 0764429619.
Bei inaanzia million 300.
IMG_20190326_143112.jpeg
IMG_20190326_143017.jpeg
IMG_20190326_143105.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini msipime viwanja muuze?? Au umelenga kufanya biashara na Vigogo

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Ni eneo kubwa la heka 3.77 lililopo msalato Dodoma mjini,barabara ya kwenda arusha.eneo hili lipo pembezoni mwa barabara karibu na kibao Cha Fantasy Hotel.kama unahitaji tuwasiliane kwa namba 0764429619.
Bei inaanzia million 300,000,000/=View attachment 1057097View attachment 1057098View attachment 1057099

Sent using Jamii Forums mobile app
Thamani ya Ardhi hutofautiana kulingana na eneo Ardhi hiyo husika ilipo (e.g Dsm, Lindi, Dodoma, Mwanza n.k)

Kwa Dodoma (nje ya city cetre) thamani ya Ardhi ina_range kati ya 5,000 - 7,500 kwa 1SQM kulingana na matumizi ya Ardhi husika (e.g makazi, viwanda n.k).

Kwa ukubwa wa 3.77 hekari ni sawa na 15256.662SQM. So bei ya shamba hilo inaweza ku_range kati ya:-

15256.662x5,000 = 76, 283, 310 TZS AU

15256.662x7,500 = 114, 424, 965 TZS

======== NI MAONI TU ========

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni 300 wakati ukitembea km 5 toka eneo hilo. Inakuta mashamba yanauzwa 1.6M kwa ekari 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom