Miye nataka chalinze mzee sema eka bei gani? Kule karibu na kwa Kikwete
bei ipi ndugu, we sema ulitaka eneo gani na bajeti yako sikuzote bei inazungumzika, usiwe na nidhamu ya wogabei kubwa mpaka maogopa
unataka heka ngapi? na nilazima iwe jirani na Mheshimiwa Rais au sehemu yoyote pale chalinze?
nakumbuka tumeongea kwenye cm. hizo zinapatikana*Upande wa kushoto kama unaenda Arusha, siyo lazima iwe karibu na pale. Idadi ya eka itategemea bei...
nakumbuka tumeongea kwenye cm. hizo zinapatikana*
sawa mkuu, samahani basi tuwasiliane ili nikuoneshe wapi zipo hizo heka.AsanteSijaongea na mtu kwenye simu kuhusu shamba huko.
sawa mkuu, samahani basi tuwasiliane ili nikuoneshe wapi zipo hizo heka.Asante