Endeleeni kuona wanaume tu ndio waonevu

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, sina haja ya kutoa salami kwani hatupo salama. Nimewahi kushuhudia mke wa ndugu yangu akitoa kipande cha nyama kwenye uchi wake na kukichanganya kwenye sufuria la mboga na vipande vingine.

Hapa najua kuna wengine watabisha, hasa wale wanojiita watetezi wa wanawake na NGO's ambao wanaona uonevu kwa wanaume pekee tu.

Wanaume tuwe makini, tunakula uchafu sana tu mpaka wengine huokota makopo, wake zetu si rafiki zetu kihivyo kama wanaume wengi wanavyofikiri, hatupo salama.

Sasa kwa mke wa namna hiyo ukipiga hata kofi anakimbilia kushitaki, huu ni upuuzi, na ndio maana wengine hatutaki kuoa kwan tutaua tu. Hatukwepeshi.

Wanaume tufunguke akili tafadhali, msiwe magoi goi wa kubugia bugia kila mnachopikiwa hovyo hovyo mtakufa. Wa kutetea endeleeni kutetea, nimemaliza.
 
Japo watu wanakubeza lakini usishangae kwa sababu jamii ya sasa ipo katika mfumo ambao mwanaume atakiwi kulalamika kuhusu maovu ya wanawake anatakiwa akae kimya kwana kwamba hauna logic na kama utajalibu kulalamika watatumia maneno ya kejeli kukunyamazisha huku wakiwaendelea kumsifia wanawake kwa maovu wanayoyafanya et ndio kuwa strong and educated women😂😂😂😂na hii ipo popote pale iwe mahakamani,kanisani,polisi yani mahali popote sanasana makanisani siku hizi wanawake wanavyohuburiwa na kusifiwa maovu wanayoyafanya kwa wamezao kua ni mazuri ndio kumfunza mwanaume majukumu yake
wachungaji wengine wanafika mbali kuhubiri kuwa mke kuchepuka sio dhambi kama mme wake ameshidwa kumuhudumia kutokana na matatizo ya kiuchumi lakini cha kuhuzunisha zaidi bado kuna men wasiojitambua bado wanaenda kwenye hayo makanisa na wengine huoa kabisa😂

kwa hiyo Mkuu usidhani upo peke yako mpo wengi ambao mnauona uovu huu wa wanawake wa miaka hii lakini shida inakuja ukiyaongelea mbele ya hadhira usishangae kuona umati wa wanawake na wanaume wa mipasho😂😂😂wakikupinga vikali hapo ndio utajua real men are remain very very few in number
 
Hivi wakichanganya gipande vya nyama iliyowekwa huko "ukeni" na wao wanakula au wanahakikisha aliyekula ni mwanaume tu?
 
Japo watu wanakubeza lakini usishangae kwa sababu jamii ya sasa ipo katika mfumo ambao mwanaume atakiwi kulalamika kuhusu maovu ya wanawake anatakiwa akae kimya kwana kwamba hauna logic na kama utajalibu kulalamika watatumia maneno ya kejeli kukunyamazisha huku wakiwaendelea kumsifia wanawake kwa maovu wanayoyafanya et ndio kuwa strong and educated womenna hii ipo popote pale iwe mahakamani,kanisani,polisi yani mahali popote sanasana makanisani siku hizi wanawake wanavyohuburiwa na kusifiwa maovu wanayoyafanya kwa wamezao kua ni mazuri ndio kumfunza mwanaume majukumu yake
wachungaji wengine wanafika mbali kuhubiri kuwa mke kuchepuka sio dhambi kama mme wake ameshidwa kumuhudumia kutokana na matatizo ya kiuchumi lakini cha kuhuzunisha zaidi bado kuna men wasiojitambua bado wanaenda kwenye hayo makanisa na wengine huoa kabisa

kwa hiyo Mkuu usidhani upo peke yako mpo wengi ambao mnauona uovu huu wa wanawake wa miaka hii lakini shida inakuja ukiyaongelea mbele ya hadhira usishangae kuona umati wa wanawake na wanaume wa mipashowakikupinga vikali hapo ndio utajua real men are remain very very few in number
Yes, real men are very few. Kinachosikitisha ni kumuita majina ya kejeli kila mwanaume ambaye anaonesha nia ya kuonya na kukemea tabia mbovu za wanawake. Mara utasikia 'una mambo ya kike', 'sio rijali', 'upo kama demu' etc, ili tu uache kukemea.

Bora niendelee kusubiri tu kuoa kwenye haya makanisa ya kipuuzi, ambayo wengi wa wanaoombewa kwa kukosa waume ni wasichana jeuri, wajuaji, hawana heshima na hawana utu. Na ndio maana wanajazana makanisani kutafuta waume wakidhani wamefungwa na Ibilisi.
 
Huwa nasikia kuwa mwanamke akikuchanganyia hiyo nyama katika msosi, nyama aliyoipachika katka "K" kwa muda wa siku tatu au wiki, mission yake ikifanikiwa ukaibugia bila kujua, kila kitu atakachokua anasema, wew kwako ni YES, unainamishwa kichwa kama kondoo! Hata akija home na mchepuko wake, unampisha kitandan bila vurugu, anafanya yake, wew unaona fresh tu!

Ile wao wanaita "SHUNTAMA!" haukohoi wala haujambi, ni mwendo wa kuendeshwa kama gari bovu!

Cc Mshana Jr
 
Nawaza tu kipande cha nyama kukiweka kwenye uchi? Afu kama alikichanganya kwenye vipande vingine hapo alimlenga nani akile?maana kilishachanganywa kwenye sufuria la mboga nini kinatokea? Aiseee

Vip hiyo mboga mlikula wote ama?
 
Nawaza tu kipande cha nyama kukiweka kwenye uchi? Afu kama alikichanganya kwenye vipande vingine hapo alimlenga nani akile?maana kilishachanganywa kwenye sufuria la mboga nini kinatokea? Aiseee

Vip hiyo mboga mlikula wote ama?
Sikuthubutu kula!
 
Hivi na wanaume wanapochepuka au kuzalisha wanawake na kuwaacha huwa wanasemwa
 
Back
Top Bottom