BILAURI Jr Member Joined Oct 21, 2013 Posts 49 Reaction score 8 Feb 13, 2014 #1 Baada ya kuona Tangazo la ajira la UDOM kwenye website yao nimepatwa mkanganyiko naomba mnisaidie wana JF hizi EMPLOYMENT REFEREES FORM zinatumwa pamoja na barua au separately :help::help:
Baada ya kuona Tangazo la ajira la UDOM kwenye website yao nimepatwa mkanganyiko naomba mnisaidie wana JF hizi EMPLOYMENT REFEREES FORM zinatumwa pamoja na barua au separately :help::help:
M matunge88 Member Joined Jan 18, 2014 Posts 58 Reaction score 26 Feb 15, 2014 #2 We mpe referee akujazie then aiweke kwenye bahasha ya A7 then iweke ndani ya A4 then tuma. Lakini usiifungua lakini nao UDOM walitakuwa hii kitu mtu akipata kazi ndo huwa inajazwa
We mpe referee akujazie then aiweke kwenye bahasha ya A7 then iweke ndani ya A4 then tuma. Lakini usiifungua lakini nao UDOM walitakuwa hii kitu mtu akipata kazi ndo huwa inajazwa
S Santo JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 497 Reaction score 95 Dec 3, 2014 #3 Hizo zinapatikana wapi? Nipeni link nidownload au kwa mwenye nayo please upload it right here