Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Marian College of Law
Posts
- Assistant Account
- Administrative Assistant
- Dean of students
- Librarian
- Receptionist
- Office assistant
All applications and testimonials to
The Principal
Marian College of Law
PO BOX 6956
DSM TANZANIA
Deadline Wed June 18 2014
chuo kipo dar maeneo gani. source ya tangazo ni ipi
vigezo ni vp bandiko lako halijitoshelezi
ok tmekupata knahuska na mambo gani
unataka utafuniwe kila kitu???????????????
anyway ka una maswali zaidi cheki nao tell 21512005
Mkuu tupige simu kuuliza vigezo? Mbona watachoka kupokea hizo simu.....ungetu-direct kwa kupata more info mf. Website kama wanayo
sijui kuhusu website nimeona tangazo gazetin nikaona ni share na wenzangu
hiyo sim sio lazima uulize kuhusu vigezo unaweza kuuliza kuhusu website pia............
nitafunie basi uniwekee hapo kwa lips yakounataka utafuniwe kila kitu???????????????
anyway ka una maswali zaidi cheki nao tell 21512005
Ok sawa...ni gazeti gani?
Heaven on Earth hiki chuo ndiyo kimeanza lini au ni kipya? Is it connected to Marian Girls Secondary School? If not who is the owner!!!
Marian College of Law
Posts
- Assistant Account
- Administrative Assistant
- Dean of students
- Librarian
- Receptionist
- Office assistant
- Tutorial Assistants
All applications and testimonials to
The Principal
Marian College of Law
PO BOX 6956
DSM TANZANIA
for #7 Suitable candidates are encouraged to apply for the post of Tutorial Assistant
in the following courses the college plans to undertake
- Diploma in Law (DLW) -2 years
- Certificate in Law - 1year
Deadline Wed June 18 2014