Ndama Jeuri JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,546 Sep 15, 2017 #1 Sent using Jamii Forums mobile app =============== Taarifa Zaidi havanna said: Jamaa amepatikana, aliandika kwenye account yake ya Instagram kuwa alikuwa bagamoyo kwa kazi zake binafsi Click to expand...
Sent using Jamii Forums mobile app =============== Taarifa Zaidi havanna said: Jamaa amepatikana, aliandika kwenye account yake ya Instagram kuwa alikuwa bagamoyo kwa kazi zake binafsi Click to expand...
M Makandila9090 Senior Member Joined Aug 16, 2016 Posts 161 Reaction score 191 Sep 15, 2017 #2 Sura umemficha tutamjuaje sasa huyo ema ze boi
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #3 Hatari sana, WASIOJULIKANA wameshafanya yao
kibumbu JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 1,420 Reaction score 3,481 Sep 15, 2017 #4 Duh.. nini tena,au ni Nissan nyeupe
za chembe JF-Expert Member Joined Jul 22, 2017 Posts 1,064 Reaction score 4,094 Sep 15, 2017 #5 Kusikojulikana
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,503 Reaction score 2,738 Sep 15, 2017 #6 Mtayarishaji muziki mwenye kujua kazi yake, nimeanza kumsikia muda kidogo, kama nyimbo mbalimbali hasa za maua sama, uko wapi jamaa?
Mtayarishaji muziki mwenye kujua kazi yake, nimeanza kumsikia muda kidogo, kama nyimbo mbalimbali hasa za maua sama, uko wapi jamaa?
Ndama Jeuri JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,546 Sep 15, 2017 Thread starter #7 havanna said: Mtayarishaji muziki mwenye kujua kazi yake, nimeanza kumsikia muda kidogo, kama nyimbo mbalimbali hasa za maua sama, uko wapi jamaa? Click to expand... Dah! Sijui watu wasiojulikana wameshafanya yao
havanna said: Mtayarishaji muziki mwenye kujua kazi yake, nimeanza kumsikia muda kidogo, kama nyimbo mbalimbali hasa za maua sama, uko wapi jamaa? Click to expand... Dah! Sijui watu wasiojulikana wameshafanya yao
Ndama Jeuri JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,546 Sep 15, 2017 Thread starter #8 Joseverest said: Hatari sana, WASIOJULIKANA wameshafanya yao Click to expand... Yani! Hatariii
Ndama Jeuri JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,546 Sep 15, 2017 Thread starter #9 kibumbu said: Duh.. nini tena,au ni Nissan nyeupe Click to expand... Hahahahaha
lwamu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 927 Reaction score 1,077 Sep 15, 2017 #10 Duh.....hua anatengeneza nyimbo zenye mlengo wa siasa pia.... (kukosoa) labda?
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Sep 15, 2017 #11 usikute kiki iyo
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Sep 15, 2017 #12 ile ngoma ya kalapina amerekodia wapi...watu wasiojulika.
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,318 Sep 15, 2017 #13 Kunja ngumi hii itakuwa smart area, hii ni smart area, haya imba ,unatafuta kiki kwa pikipiki mara black Mara white vipi.
Kunja ngumi hii itakuwa smart area, hii ni smart area, haya imba ,unatafuta kiki kwa pikipiki mara black Mara white vipi.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #14 MZEE TOLA said: Yani! Hatariii Click to expand... hatari sana
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,967 Reaction score 42,207 Sep 15, 2017 #15 Duh noah nyeus imehusika hapo
Prince Mujubu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 340 Reaction score 249 Sep 15, 2017 #16 niko hapa mkuu.
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,090 Sep 15, 2017 #17 Huyu sio wa Tht?
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,840 Reaction score 2,423 Sep 15, 2017 #18 Tayari uyo.
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,503 Reaction score 2,738 Sep 15, 2017 #19 MZEE TOLA said: Dah! Sijui watu wasiojulikana wameshafanya yao Click to expand... Inaweza kuwa kiongozi
MZEE TOLA said: Dah! Sijui watu wasiojulikana wameshafanya yao Click to expand... Inaweza kuwa kiongozi
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,503 Reaction score 2,738 Sep 15, 2017 #20 lwamu said: Duh.....hua anatengeneza nyimbo zenye mlengo wa siasa pia.... (kukosoa) labda? Click to expand... Sana sana nyimbo za mapenzi kama kina maua sama, vumi na wengine Wa THT
lwamu said: Duh.....hua anatengeneza nyimbo zenye mlengo wa siasa pia.... (kukosoa) labda? Click to expand... Sana sana nyimbo za mapenzi kama kina maua sama, vumi na wengine Wa THT