na wewe kama hujafanana na huyooo Emmanueli kwanini usiwataje hao watu?inaonyesha wazi unawajua na kama sivyo basi hiyo habari yako ni batili kuwa wanajulikana.wanyoosha kidole kwa wenzio wakati na wewe uvile vile. kaa kimya brother ustafte umaarufu kwa majina ya watu.