Sana hata mimi mawazo yangu ni hayo ni kama demu alikusaliti halafu unaamua kumrudia eti amejirekebisha hakuna kitunkama hicho, huyu atakuja kuwasumbuaHuyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la mda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya Chama kama ilivyo kawaida yake.
Napenda Loyalty ya Dr Nchimbi, hakuweza kumsaliti Lowassa. Safi sana.Siyo kweli, Emmanuel Nchimbi huwa ni mwadilifu sana kwa mamlaka inayompa nafasi. Kumhukumukwa tukio la 2015 ni kukosa ufahamu wa siasa za Tanzania. Kwani ni mbunge gani wa CCM au mwanasiasa wa CCM ambaye hakuwa anamuunga Edward Lowassa mwaka 2015? Ni Kikwette tu na ndiyo maana walipoimba wimbo "tunaimani na Lowassa akapiga makofi'. Ile ni ajali tu katika siasa
Umeiweka vizuri...chama cha siasa lazima kiwe na makundi ndani..makundi yanasaidia ku shape mwelekeo wa chama na kufanya walio madarakani wasijisahau kwani humo chamani wapo wenye kuzitaka hizo nafasi.Makundi lazima yawepo,
Chama hakiwezi kupoa kama kiporo cha ugali,
Huku Bashite huku Mchimbi, Kuna January na Madelu Mchemba,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Ekizakitile....1995 elections ndani ya chama.Na tabia ya kuingia na majina mfukoni mkwere ameiga toka kwa mchonga.
Alikataa pema pa Chongolo? Alikataaje?Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.
And, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.
Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.
Wewe kweli GT,mi nashangaa chawa wanavoimba mapambio wamesahau kabisa jpm alikua ni mwamba wa Dunia nzima na Bado alianguka chini!!Usimbeze mtu kwakua kesho anaweza kua boss wako.
Nadhan kwa mwenye Akili timamu, kauli hii ya Makonda itamtia Maarifa !!.
2025, Rais sio Samia.
Bado kuna watu wanaamini nchimbi kumuunga lowasa ilikua ajali ya kisiasa!na waliomuunga mkono membe je!!?Siyo kweli, Emmanuel Nchimbi huwa ni mwadilifu sana kwa mamlaka inayompa nafasi. Kumhukumukwa tukio la 2015 ni kukosa ufahamu wa siasa za Tanzania. Kwani ni mbunge gani wa CCM au mwanasiasa wa CCM ambaye hakuwa anamuunga Edward Lowassa mwaka 2015? Ni Kikwette tu na ndiyo maana walipoimba wimbo "tunaimani na Lowassa akapiga makofi'. Ile ni ajali tu katika siasa
Kwahiyo na wewe unaamini nchimbi yupo pale kumsaidia mama awe Raise awamu nyingine!!?Tatizo lako usukuma unakusumbua.
Nchimbi angekuwa Msukuma wala usingeanzisha uzi
Kwa hiyo unataka mtu mwerevu Dr.Nchimbi, aweze kufanya kazi na mtu mjinga Bwn.Bashite ili iweje yan???Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
Anaelewa fika ccm hakuna kitu inaitwa demokrasia..wana kuuubaliana tu ila ye kwa kiburi aligoma kukubaliana. Ndio maana hata yeye ameanza kampeni kwa samia ya vipindi viwili, anajua sio suala la kidemokrasia.Inaelekea humjui Emanuel Nchimbi.Alikuwa anatumia haki yake ya kidemokrasia.
Haya mengine ni speculation tu isiyokuwa na uzito wowote. Yaani unamjua Nchimbi kuliko CCM? Katika watu wanaoijua CCM vizuri ni Nchimbi ameanza nayo tokea akiwa chipukizi. Hizo ni assumptions za fisi kungojea mkono udondoke.
Na kwa kuongezea, CCM hakuna mtu ambaye ni mkubwa kuliko chama, vinginevyo Chongolo angesalimishwa na ukubwa wake.Inaelekea humjui Emanuel Nchimbi.Alikuwa anatumia haki yake ya kidemokrasia.
Haya mengine ni speculation tu isiyokuwa na uzito wowote. Yaani unamjua Nchimbi kuliko CCM? Katika watu wanaoijua CCM vizuri ni Nchimbi ameanza nayo tokea akiwa chipukizi. Hizo ni assumptions za fisi kungojea mkono udondoke.
Sands of times!! Nchimbi hawezi kuwa loyal kwa Lowassa kwa kuwa aliyempa uteuzi ni Samia. Akifanya hivyo anastahili kupelekwa Mirembe hospitalBado kuna watu wanaamini nchimbi kumuunga lowasa ilikua ajali ya kisiasa!na waliomuunga mkono membe je!!?
Ule ni mchoro kama maigizo mengine!
Mimi namuona nchimbi kama waziri wa mambo ya ndani ndani ya CCM,kama unakumbuka vizuri akiwa waziri was mambo ya ndani alifanya Nini Bas ndicho anachoenda fanya ndani ya CCM!!
Vuta kumbu kumbu!
Tatizo mnaongea mambo msiyoyajua mkifikiri mnayajua. Ebu fuatilia ndani ya UVCCM uone kama Nchimbi na Makonda kama hawakuwahi kufanya kazi pamoja.Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.
And, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.
Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.
Ishu ninkwamba atakua loyal kwake huku akivujisha mipango Kwa wale jamaa!Sands of times!! Nchimbi hawezi kuwa loyal kwa Lowassa kwa kuwa aliyempa uteuzi ni Samia. Akifanya hivyo anastahili kupelekwa Mirembe hospital
Kwani fomu si inatoka moja tu na chama kimeishajipanga kupokea fomu moja tu hiyo hiyo!?.Nchimbi ni sawa na ‘soldier of fortune’ (mercenary) vita ikiisha anaangalia biashara ingine, mkataba na Lowassa uliisha 2015.
Ila hii vita ya 2025 kama ita kuwepo awatoiweza iwapo chaguo ni mtu maalum wa kurekebisha dira na sioni wa kumsumbua ‘Bi Tozo’ zaidi ya Mwinyi.
Just a theory not factual
Kamati ya Maadili ya CCM inatisha kuliko Mahakama ya Rufaa; japo haina jela.Nchimbi aliitwa kujitetea na akakiri na kuomba msamaha kwa sauti ya unyenyekevu sana. Kwangu ninaona ni bora mtu akiriye na kuomba msamaha. Nchimbi ni kama Nape - January Makamba ndiyo gaidi - huyu jamaa hawezi kabisa kubow down!