Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Inaelekea humjui Emanuel Nchimbi.Alikuwa anatumia haki yake ya kidemokrasia.Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la mda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya Chama kama ilivyo kawaida yake.
ulikusudia hivyo 'ana' au 'hana'?sasa Makonda ana akili.
....na huenda ikawa kinyume chake pia, zingatia!Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.
and, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.
Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.
...inayo lakini ni fiche.Kwani CCM haina makundi kwa sasa?
Makundi lazima yawepo,Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la mda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya Chama kama ilivyo kawaida yake.
....unazo ndoto ya Katiba mpya kwa Utawala wa CCM ya sasa? Pole!Huna hoja yoyote ya msingi. Suala la kumgomea Kiwete na maamuzi yake ya mfukoni yamenifanya nimheshimu hadi leo japo simkubali, lazima mtu uwe na msimamo sio kuburuzwa.
Ule mchakato ulikuwa batili, kama Mwenyekiti alikuwa na majina yake mfukoni kwanini aliitisha uchaguzi?
Katibu mpya ni loyal, nadhani ndio maana kapewa nafasi kwa kuwa anaweza kuaminika.
Nchimbi aliitwa kujitetea na akakiri na kuomba msamaha kwa sauti ya unyenyekevu sana. Kwangu ninaona ni bora mtu akiriye na kuomba msamaha. Nchimbi ni kama Nape - January Makamba ndiyo gaidi - huyu jamaa hawezi kabisa kubow down!Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la mda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya Chama kama ilivyo kawaida yake.
Na tabia ya kuingia na majina mfukoni mkwere ameiga toka kwa mchonga.Huna hoja yoyote ya msingi. Suala la kumgomea Kiwete na maamuzi yake ya mfukoni yamenifanya nimheshimu hadi leo japo simkubali, lazima mtu uwe na msimamo sio kuburuzwa.
Ule mchakato ulikuwa batili, kama Mwenyekiti alikuwa na majina yake mfukoni kwanini aliitisha uchaguzi?
Katibu mpya ni loyal, nadhani ndio maana kapewa nafasi kwa kuwa anaweza kuaminika.
Kwani kuna sehemu umeongelea katiba mpya katika bandiko lako?....unazo ndoto ya Katiba mpya kwa Utawala wa CCM ya sasa? Pole!
Amesema yeye ni mtu wa misimamo(si msimamo)!Kwani yeye nchimbi anasemaje ?