Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God



Eminem ana pumzi,verse ndefu na rhythm ndio maana Akirap anakuwa kwenye pattern ileile beat inamfuata baadae.

Lakini huyu Rap cartoon wala sio lyricist.

But I remain a fanatic fan just like "Stan"
 
Wewe unanitafutia sifa mbaya.
Mimi natumia majina yangu halisi humu ndani.
Kitu cha msingi nilichoamua kukifanya ni kukuweka katika "ignore list" ili uendelee kuwaquote wajinga wenzako.
Kwaheri.

Sorry, kwa kuangalia uandishi wako nilijua wewe ni mwanamke.
 
Back
Top Bottom