Kazi zetu ni Quality sanaaaa.
Hii ni kazi iliyoletwa na mtu kutoka humu na ID yake hata siijui but kazi imefanyika na kaupata mzigo wake.
Karibuni sana Wadau kazi zetu ni Bora sanaaaa.
Kutana na Mabingwa Embroidery (Darizi), DTF Printing.
Product tunachukua zenye Quality nzuri.
Kazi zetu zinafanyika kwa haraka na kwa ubora mkubwa sana!
Bei zetu ni nzuri na Nafuu.
Njoo upate Tshirt au Shirt iliyodariziwa logo yako.