KWANZAMEDIA Member Joined Apr 11, 2018 Posts 7 Reaction score 1 May 11, 2018 #1 Jipatie email kwa ajili ya biashara yako kwa bei ya Tsh 35,000/= kwa mwaka. info@biasharayako.com sales@biasharayako.com Tuwasiliane kwa Maelezo zaidi 0764178822
Jipatie email kwa ajili ya biashara yako kwa bei ya Tsh 35,000/= kwa mwaka. info@biasharayako.com sales@biasharayako.com Tuwasiliane kwa Maelezo zaidi 0764178822
Machange Senior Member Joined Jun 10, 2016 Posts 152 Reaction score 187 May 11, 2018 #2 Kuna tofauti gani kati ya email ya biashara na hizi email za kawaida
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,517 May 11, 2018 #3 Wee jamaa marketing strategy ni mweupe. Waelimishe watu kwanza, Faida ya hiyo email Utofauti wake na email ya kawaida n.k USILETE TANGAZO CHUKUCHUKU.
Wee jamaa marketing strategy ni mweupe. Waelimishe watu kwanza, Faida ya hiyo email Utofauti wake na email ya kawaida n.k USILETE TANGAZO CHUKUCHUKU.
Pastory Kimaryo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 967 Reaction score 672 Nov 18, 2021 #4 Braza naomba kuuliza, hiv links zinazoanza na "info" kama hii info@ihi.or.tz huwa ni email addresses au zinamaanishaga nini? Maana nimejaribu kuwatumia email hao watu napata report fulan mwamba sina vigezo, naomb unisaidie
Braza naomba kuuliza, hiv links zinazoanza na "info" kama hii info@ihi.or.tz huwa ni email addresses au zinamaanishaga nini? Maana nimejaribu kuwatumia email hao watu napata report fulan mwamba sina vigezo, naomb unisaidie