Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Ko ujui?Nitaifanyia kazi
MJ hamkuti elvis hata kidogo,kakupi and paste style hadi kuvaaacheni kumfananisha Mj na vitu vya kijinga aisee....
sio kweli ""MJ hamkuti elvis hata kidogo,kakupi and paste style hadi kuvaa
Hhaha mfatilie,,afu jamaa alikua Mafia,angalia nyimbo ya Rick Ross..inaitwa Elvis Presley.. Pia nahisi hata movies za al Pacino wame mportait Elvis,, au tony Montanasio kweli ""
okay ..ngoja nifanye hivyo "" ila MJ ..yule Jamaa acha kabisaaaHhaha mfatilie,,afu jamaa alikua Mafia,angalia nyimbo ya Rick Ross..inaitwa Elvis Presley.. Pia nahisi hata movies za al Pacino wame mportait Elvis,, au tony Montana
Who's the KING kwenye Boxing kati ya Muhammad Ali na Mike Tyson?!ELVIS ni real KING kutokana na mambo mengi ambayo amefanya,upendo japokuwa akupewa promo kutokana na media kutokuepo enzi hizo but angekuwepo enzi za media mngeamini nacho ongea,
Who's the KING kwenye Boxing kati ya Muhammad Ali na Mike Tyson?!
Tunaweza kuweka pembeni suala la uzito! Hapo ni nani mfalme wa Boxing kati ya Muhammad Ali na Floyd Mayweather?!
Who's the KING in football kati ya Pele na Cristian Ronaldo?!
Who's the KING kati ya Roman Empire na US?!
Who's the King kati ya Soviet Union na Russia?!
Only if you didn't catch the context behind my questions!chige, you're drunk. Go home.
KWA utafiti ambao nimeufanya nimegundua wengi wanampa kula Michael Jackson sijui KWA kigezo kipi na pia GUINNESS RECORDS zimempa huyo,
wewe je?
Elvis alikuwa Mafia lini? Usije ukawa unamchanganya na Frank Sinatra.Hhaha mfatilie,,afu jamaa alikua Mafia,angalia nyimbo ya Rick Ross..inaitwa Elvis Presley.. Pia nahisi hata movies za al Pacino wame mportait Elvis,, au tony Montana
Mambo mengi anayofanya Michael Jackon ameyacopy kutoka kwa Elvis na James brownacheni kumfananisha Mj na vitu vya kijinga aisee....