cheche IT works
Member
- Dec 4, 2013
- 49
- 33
Nakukubali Cheche
Mteja wako hapa
LCD og ya S8+ mnauzaje pamoja na kuiweka?
Nokia lumia 801 imekufa display na touch kwa kuanguka vipi mnaimudu?
Nipo mbali na Dar brother hebu nimegee nijue natenga kiasi gani nitakuja mwezi wa 9.Njoo ofisini itakuwa sawa
Nna Iphon 6s pluss inatatizo la kutachi ishawekwa kioo kipya bado aitachi garama zake zinakuwaje mkuu
Hiyo simu tatizo lake sio kioo ni IC, inayo contro touch. Fika ofini itashulikiwa mkuu
Ina toa error ngapi mkuu? Pale inapoishia