Elimu yetu

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,161
Reaction score
3,496
Mzunguko wa elimu Africa
1-Wale wanafunzi wanaoongoza shuleni hupelekwa kwenye engineering na medical schools huku
2-Wale waliokuwa wa wa pili wanachukua zao MBA na LLB na kuja kuwa ma meneja wa wanafunzi wa kwanza.
3-Wale waliokuwa wa tatu wanageukia siasa na kuwaongoza wote hapo juu wa kwanza na wa pili..
4-Wale waliofeli wanaenda jeshini.. hao hapo juu wakizingua jeshi linapindua nchi...
5-Wale wasiosoma wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo watakuja kwa huyu wa mwisho mambo yakiwashinda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…