MAKA Jr JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 267 Reaction score 209 Dec 3, 2016 #1 Kila Waziri wa Elimu Tanzania huja na 'Kinyoleo' chake. Ndio maana 'shape' ya Elimu yetu haieleweki, ina mabonde mabonde.
Kila Waziri wa Elimu Tanzania huja na 'Kinyoleo' chake. Ndio maana 'shape' ya Elimu yetu haieleweki, ina mabonde mabonde.
L LAST KING EVER Member Joined Nov 27, 2016 Posts 10 Reaction score 2 Dec 3, 2016 #2 KEEP CLAIM UNTIL 2020😡
Aron Mbungu Member Joined Apr 11, 2015 Posts 38 Reaction score 4 Dec 3, 2016 #3 MAKA Jr said: Kila Waziri wa Elimu Tanzania huja na 'Kinyoleo' chake. Ndio maana 'shape' ya Elimu yetu haieleweki, ina mabonde mabonde. Click to expand... Tatizo wizara inaongozwa na wanawake tu
MAKA Jr said: Kila Waziri wa Elimu Tanzania huja na 'Kinyoleo' chake. Ndio maana 'shape' ya Elimu yetu haieleweki, ina mabonde mabonde. Click to expand... Tatizo wizara inaongozwa na wanawake tu
injinia mganga Member Joined Oct 13, 2016 Posts 94 Reaction score 21 Dec 3, 2016 #4 MAKA Jr said: Kila Waziri wa Elimu Tanzania huja na 'Kinyoleo' chake. Ndio maana 'shape' ya Elimu yetu haieleweki, ina mabonde mabonde. Click to expand... Chuku kibeba mchanga na koleo njoo hapa home nikupe mchanga ukafukie ili tusije tukajikwaa
MAKA Jr said: Kila Waziri wa Elimu Tanzania huja na 'Kinyoleo' chake. Ndio maana 'shape' ya Elimu yetu haieleweki, ina mabonde mabonde. Click to expand... Chuku kibeba mchanga na koleo njoo hapa home nikupe mchanga ukafukie ili tusije tukajikwaa