"Usiogope kupaaza sauti yako kwa ajili ya uaminifu, ukweli na utu dhidhi ya dhuluma, uongo na ulafi (uchoyo). Ikiwa watu wote ulemwenguni watafanya hivi basi dunia itabadilika"
Akhsante Percival,lakini nadhani kwa ss dunia imepungukiwa na watu hao na kama Afrika imebaki na ukiwa baada ya kuondokewa na magwiji kama N.Mandela,N.Nkurumah,Mwalimu J.N.,nk.,kwa mbaali ninawaona J.Malema,T.Lisu nk,hope tukiacha uoga na kuongeza bidii tutafika.
"Usiogope kupaaza sauti yako kwa ajili ya uaminifu, ukweli na utu dhidhi ya dhuluma, uongo na ulafi (uchoyo). Ikiwa watu wote ulemwenguni watafanya hivi basi dunia itabadilika"