jamani muda mrefu nimekuwa nkitafakari juu ya kazi ya uchoraji tatoo. Kwa Tanzania ni wapi naweza pata ujuzi huu maana hali ilivyo sasa ni vyema use na shughuli nyingi za kuingiza kipato.