Ndugu wana JF, hawa wanaoliongoza taifa hili wao walisoma katika mazingira yanayofanana na hay? Wananunuliana mashangingi na kupelekana nje kila siku huku watoto wetu wakiteseka hivi.
Hii ni moja ya Shule ya msingi Bukoba - Kagera <oπ></oπ>
Mwisho wa siku watoto wetu tunaishia kuwapa elimu kwenye mazingira <st1πlace w:st="on">kama</st1πlace> haya! ebu muangalie mtoto huyo aliye karibu na Mfuko wa plastic, yupo darasani kweli!!! nini anachowaza! Mimi na wewe tutabaki tunahisi tu: Labda hajanywa chai! au anaumwa! La hasha! mazingira hayo yanampelekea kutomsikiliza mwalimu. <oπ></oπ>
Ndugu wana JF, hawa wanaoliongoza taifa hili wao walisoma katika mazingira yanayofanana na hay? Wananunuliana mashangingi na kupelekana nje kila siku huku watoto wetu wakiteseka hivi.
<oπ></oπ> Mwisho wa siku watoto wetu tunaishia kuwapa elimu kwenye mazingira
<st1πlace w:st="on">kama</st1πlace> haya! ebu muangalie mtoto huyo aliye karibu na Mfuko wa plastic, yupo darasani kweli!!! nini anachowaza! Mimi na wewe tutabaki tunahisi tu: Labda hajanywa chai! au anaumwa! La hasha! mazingira hayo yanampelekea kutomsikiliza mwalimu. <oπ></oπ>