engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
hapo sasaMkuu Nape aliwahi kusoma Makongo?Mbona msemaji wake Bwana Tandaleone aliuhaminisha umma kuwa alisoma TTC Butimba EGM?
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.
Nape scored better than Dr. Honorable, President Jakaya Mrisho Kingwendu (Vasco da Gama ) KikweteNAPE NNAUYE: DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F
JOHN MNYIKA: DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A
Ili uwe kiongozi na mwanasiasa mzuri unahitaji uelewa mkubwa sana wa elimu ya uraia na historia ya nchi yako na zingine zinazokuzunguka. Lakini pia "Mathematics is all about logic", yaani kitu fulani kikitokea basi kingine kitafata, kwa hiyo ni rahisi kujizuia kutamaka tamka tu mambo hovyo hovyo, ambayo saa zingine nadiriki kusema ndo yanatupelekea kuondoka kwenye misingi yetu iliyoasisiwa na viongozi wetu kama Mwalimu Nyerere na wengineo. Sasa, kama katibu mwenezi ana failure katika haya yote, untegemea nini? Au ndo maana leo tunaona hotuba zikihamasisha udini, ukanda, chuki nk. Tujadili
Mbona mnaharaka vijana,am sure Nape atajibu,so guys be patient am sure the sun will not set down before NAPE hajafunguka
'mwosha huoshwa'.
nape nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya mheshimiwa john mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa mheshimiwa mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.
Swali la msingi: Matokeo yako ya form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata division iv wengine division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na division iv ya form 6?
Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.
Kama kuna waliosoma na nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
Kumbe nape ni mburula, kilaza, hewa, John kisomo, msuli mkubwa wa kukesha hadi kuweka miguu kwenye maji, lakin paper likija holaa! Ndio maana anaongeaga pumba Mwenyekiti wa supkuna baadhi ya mabo unayachokoza halafu unakaa pembeni unashika tama na kujuta,nape atakuwa anajuta sasa hivi
ni mchezo wenye vurugu.siasa sio mchezo
Matusi hayajengi hojaMburula! mbulura! mburula!
Ni kweli mkuuNape anajimaliza kuleta hoja za kijinga