utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
1. Huyu ni kiongozi.Acha niwachane laivi nyie: "Hivi kwanini mmekalia kujua matokeo ya watu wengine sasa wewe MsemaUkweli mbona hujatoa matokeo yako tuone mnashadadia vitu vya watu ambavyo havitawapeleka wala kuwasaidia chochote kile mnaleta hoja gani hapa zisizo na msingi " jengeni hoja za msingi kabisa sio kuleta vitu vya kitoto hapa
kama kweli mmekubali akili ndogo itawale akili kubwa mnapotea kama hawa jamaa ni kweli wana hizo elimu then wengine wanasumbuliwa na hawalali usingizi kweli mmekubali akili ndogo itawe ile kubwa
Ndugu Mwanaukweli,Aliwahi yeye mwenyewe kutuambia kuwa alisoma India kwa mkopo wa bodi ya mkopo.
Nauliza uhalala wa mkopo huo kwa mtu mwenye Division O. Au ni alitumia cheo cha baba yake kupata huo mkopo?
Kwa nchi zinazothamini mchango wa vijana,mnyika alipaswa kupewa digrii ya heshima,lakini si nepi!
Kumbe alijifunzia matusi NSUMBA au alitoka nayo NGUDU???????????
NI kilaza tu huyo. Hana lolote katika jamii.
Mbona WASUKUMA WENZAKE NI WAJANJA????????? AU yeye sio msukuma????
Tatizo ni kwamba elimu ya Tanzania inaruhusu mtu mwenye cheti kuendelea kusoma fani ile ile hadi chuko kikuu.ili mradi tu unachosoma kinaendana na content?
lakini pia kama Nape alifanya mtihani wa kidato cha sita makongo,inamaana alipata credit za kumruhusu kufanya mtihani huo,maana kwa Tanzania huwezi kufanya mtihani wa kidato cha sita kama huna credit hapo bado najiuliza,Nape alifanyaje mtihani huo kama alivyosema mmoja wa mtoa mada.
wanasiasa,msipende kusemea jambo ambalo mwishowe litakufanya uonekane si lolote kwa jamii.
tuzidi kuijenga Tanzania kwa kufuata misingi itakayoweza saidia kutumia elimu zetu kwa maslahi ya nchi.
1. Huyu ni kiongozi.
Mambo ya elimu za viongozi ni mambo yenye maslahi ya taifa. Akitaka tusihoji elimu yake afanye shughuli zake binafsi.
2. Halafu nilifanya makusudi kufanya hivi baada ya nape kuhoji elimu ya mnyika. Yaani nilimrudishia alilolianzisha yeye mwenyewe. Sasa kumbe ni mkuki kwa nguruwe....? Au kun.ya anye kuku aki.nya bata .......
Yaani wewe mwenyewe umeona kuwa mbinu anayotumia nape ya kuanzisha hoja za kusema wengine si mbinu nzuri. Leo imemgeukia!!!!
huu sio utoto ladyfuraha